Biblia Yetu ni blogu inayoendeshwa na kikundi kidogo cha watumishi wa Mungu nchini Tanzania kinacholenga kukumbusha na kueneza neno la Mungu. Yehova mwenye utukufu anatuelekeza kwenye Biblia kuwa tulisambaze neno lake dunia nzima kwa viumbe wote (Marko 16:15). Mitandao siku hizi imekuwa na watumiaji wengi mno kwa hiyo tumeona ni vyema tutumie njia ya mtandao kuwafikia watu wa Mungu na kuwakumbusha habari zake zinazoelezwa kwenye Biblia takatifu.
Waeleze wengine kuhusu blogu hii ili neno la Mungu liweze kusambaa zaidi kama anavyohitaji yeye aliye mbinguni. Barikiwa sana kwa kuwa umechagua kuwa hapa kusoma habari za Mungu wako aliyekuumba. Baba aliye mbinguni atimize haja ya moyo wako. Amen. Kama umeguswa na shughuki hii ya kuhubiri neno la Mungu changia juhudi zako na Bwana atakuinua. Bofya >>>HAPA<<< kuchangia. Ubarikiwe mtumishi wa Mungu.